Mh.Balozi wa Tanzania nchin Marekani Hon.Mwanaidi Sinare Maajar alipokua akiongea na kuwapongeza Friends of Tanzania kwa kazi yao nzuri ya kujitolea na kuijali Tanzania na kuwaasa wasichoke waendelee na moyo huo.
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kulia) akiongea na Ed Kneedler(kati) wakiwa pamoja na Craig Hefner
Mh.Balozi(kulia)akizungumza na Ed Kneedler wakati wakiendelea kupata machopochopo kwenye ghafla waliyoandaliwa Friends of Tanzania na Ubalozi wetu,Washington,DC
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kushoto) akizungumuza mawili matatu na Ed Kneedler(kati) na Lynn Kneedler Friends of Tanzania.
Mh.Balozi Maajar(kulia) akiwa na Rais wa Friends of Tanzania,Pat Kelley kwenye ghafla futi walioandaliwa maalum kuwashukuru kwa kazi wanayofanya kuisaidia Tanzania
Mh.Balozi wakipata picha ya pamoja na Emmanuel Muganda
kushoto ni John Hatch akiwa na mwenzake wa Friends of Tanzania,Dan Ehrenberg.
Kutoka kushoto ni Marolyn Hatch,Dan Ehrenberg,Ed Kneedler na Rais wa Friends of Tanzania Pat Kelley. kulia ni Dr.Hamza Mwamoyo akiwa na Dennis Warner
Katika mazungumzo,kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Dr.Mkama,Asia Dachi na Emmanuel Muganda
kwenye picha ni Afisa Ubalozi,Dr.Mkama(kulia) akiongea mawili matatu na Dan Ehrenberg mmoja wa Friends of Tanzania.
kutoka kulia ni Dennis Warner,Shante,Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Rais wa Friends Of Tanzania,Pat Kelley
Kushoto ni Jennifer Dellegrazio akiwa na mwenzie wa Friends of Tanzania,Craig Hefner wakati walipokua Ubalozi wetu,Washington,DC
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi,Masanja,Craig Hefner,Jennifer Dellegrazio na John Hatch
Kutoka kulia ni Emmanuel Muganda,Afisa Ubalozi Masanja,Denns Warner,John Hatch,Afisa Ubalozi Suleiman Saleh,Afisa Ubalozi Asia Dachi,Shante na Candy Warner.
Friends of Tanzania,maafisa Ubalozi wakipata picha ya kumbukumbu pamoja na Mh.Balozi Mwanaidi Maajar.Picha zote na Mdau Luke John-Washington,DC





















No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)