Mshiriki Namba Moja Jackline Kinabo Alipokua akijielezea mbele ya umati wa mashabiki wakati wa sherehe za kumtafuta Miss na Mr VyuoVikuu Vya Dodoma.
Mshiriki kutoka Chuo Cha Mipango Akiwa anajieleza
Mshiriki Namba 12 Kutoka Chuo Cha Mipango Akiwa Kwenye Pozi Alipopita Mbele Ya Wadau Waliokua wakishuhudia
Mshiriki kutoka Chuo Cha Mtakatifu John akiwa Anajieleza
Mshiriki Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma Akiwa Anajieleza mbele ya kadamnasi waliokua na shauku ya kujua mshindi
Mshiriki namba 2 akiwa na Mshiriki Namba Moja Wakiwa katika Vazi la Usiku.
Mshiriki Akionyesha kipaji Chake Cha Kucheza Wakati wa mashindano ya kumsaka Miss na Mr Universities of Dodoma
Mshindi Wa Miss Universities Of Dodoma 2011 Jackline Kinabo akiwa kwenye Taji Lake muda Mfupi Baada Ya Kukabidhiwa Taji Lake
Mshindi Wa Mr Universities of Dodoma Reuben Akiwa Kwenye Kiti Muda Mfupi Mara Baada Ya Kukabidhiwa Taji lake
Washindi Wa Shindalo La Kumsaka Miss Universities Dodoma na Mr Universities Dodoma Ni Jackline Kinabo na Mshindi Wa Taji La Mr Universities Dodoma 2011 Ni Reuben Wote Hawa Ni Wanafunzi wa chuo Kikuu Cha Dodoma. Jackline ni Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Kwanza na Reuben Ni Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Pili.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)