WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI WALIPOGOMA JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI WALIPOGOMA JANA


 Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMUCCO) cha chuo kikuu cha Tumaini, ya Masoka kilichopo Mwika Moshi Vijijini wakiwa wamegomea kuingia madarasani jana wakipinga kuchelewa kupatiwa mikopo na miundombinu duni ya majengo chuoni hapo.Picha na Dionis Nyato

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages