JOH MAKINI,BELLE 9,BEKA NA REDSUN NDANI YA VERSITY NITE NDANI YA NEW MAISHA CLUB - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JOH MAKINI,BELLE 9,BEKA NA REDSUN NDANI YA VERSITY NITE NDANI YA NEW MAISHA CLUB


Msanii wa kizazi kipya Bakari Hassan (Beka Boy) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo asubuhi ambaye pia atashiriki kwenye shoo ya Versity Nite itakayofanyika usiku leo ndani ya New Club Maisha,kushoto kwake ni Msanii kutoka nchini Kenya,Swabri Mohamed (Redsun) akifurahia maelezo ya Beka Boy.ukiachilia wasanii hawa,wengine ni Joh Makini pamoja Belle 9 ambao kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wao hawakuweza kutoka katika mkutano huo na wanahabari.

Msanii Swabri Mohamed (Redsun) kutoka nchini Kenya akifafanua jambo mapema leo asubuhi kuhusiana na shoo yao kabambe ya Versity Nite ambayo itawakutanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu itakayofanyika leo usiku ndani ya New Club Maisha,jijini Dar.Redsun ameahidi kufanya kamuzi kubwa kwenye shoo hiyo.
Kwa Msaada Wa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages