TAARIFA YA POLISI KUHUSU MAANDAMANO YA AMANI YA CHADEMA YALIYOTOKEA ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAARIFA YA POLISI KUHUSU MAANDAMANO YA AMANI YA CHADEMA YALIYOTOKEA ARUSHA

                                
Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamanda Paul Chagonja akizungumza na Waandishi wa habari katika Makao makuu ya Jeshi hilo leo.
                                  
Video ikionesha jinsi polisi walipokuwa wakituliza ghasia katika vurugu hizo.
Baadhi ya Makamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, wakiangalia sehemu ya video iliyokuwa ikionesha jinsi Polisi walivyokuwa wakituliza ghasia huko Arusha.


PICHA NA HARUNI SANCHAWA / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages