Musa Njechele.
----
KAMA ukibahatika kumkuta Musa Zuberi Njechele akiwa kwenye kazi ya kutengeneza simu hutakuwa na ubishi wowote kuhusiana na usemi maarufu wa watetezi wa haki na maendeleo kuwa, watu wenye ulemavu wakiwezeshwa wanaweza.
Musa ana ulemavu wa macho, lakini ameweza kufungua kibanda cha kutoa huduma za simu ikiwa ni pamoja na kutengeneza simu.
Kwa kifupi, ni fundi mahiri wa simu. Na hilo unaweza kulithibitisha kama utafika katika ofisi yake aliyoibatiza jina la Muzunje Inclusive Service, iko eneo la Yombo Kilakala maarufu kwa jina la Chedi au Sharp Corner lililopo Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)