FLY540 Tanzania Yazindua Safari Zake za Ndege jijini Mwanza - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FLY540 Tanzania Yazindua Safari Zake za Ndege jijini Mwanza

Mkuu wa wilaya ya Ilemela Said Amanzi akizindua rasmi safari za ndege ya shirika la FLY540 leo katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
 FLY540Tanzania itaanza rasmi safari zake kati ya Dar es Malaam na Mwanza siku ya jumatatu tarehe 24.jan.2011 ambapo itatoa huduma zake kila siku kasoro siku ya jumamosi tu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages