Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi akifungua mkutano maalum wa Umoja wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali jana(21.1.2011) jijini Dar es salaam.
Watendaji- Baadhi ya watendaji wakuu wa wakala wa Serikali wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi kwenye mkutano maalum wa Umoja wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali ulifanyika jana(21.1.2011) jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)