KUNA hoja kwamba wananchi wengia nchini wanashindwa kuchangia kikamilifu hoja ya mabadiliko ya Katiba kwa kuwa hawaifahamu. Kufuatia hali hiyo, wananchi wameanza kuiperuzi ambapo jana usiku mtandao huu aliwansa wananchi wawili wa mkoani Morogoro wakiisoma kwa makini Katiba kwenye mgahama uliyopo eneo la Masika mkoani hapa.Pichani ni msaniimaarufu kwa jina Baba kombolela [kulia) Mtumishi wa Mungu, Mwinjilisti Yohana Malekela anayeongoza Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania[KKKT] Usharika wa Bingwa.
NA DUNSTAN SHEKIDELE-GPL -MOROGORO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)