WANAFUNZI KUANZA KUVUKA BARABARA WENYEWE KWA MSAADA WA VIBAO MAALUMU VA KUSIMAMISHA MAGARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI KUANZA KUVUKA BARABARA WENYEWE KWA MSAADA WA VIBAO MAALUMU VA KUSIMAMISHA MAGARI


Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Oysterbay,Dar es Salaam, Rashid Omary, akisimamisha magari ili wanafunzi wenzake wavuke katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Oysterbay. Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani,Mohamend Mpinga ameuzindua mfumo huo wa wanafunzi kujivusha wenyewe.Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages