Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Makumira, Arusha, wakiwa wamejioanga tayari kuanza maandamano mchana huu kudai mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na mikopo. Habari kamili inafuata punde...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Makumira, Arusha, wakiwa wanaandamana katikati ya barabara ya Arusha-Moshi na mabango jambo ambalo lililosababisha magari kushindwa kupita barabarani hadi polisi walipokuja kuwatawanya kwa mabomu ya machozi mchana huu.
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha.
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)