WAZIRI MKUU ATEMBELEWA NA BALOZI WA SHIRIKA LA MISAADA LA KOREA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU ATEMBELEWA NA BALOZI WA SHIRIKA LA MISAADA LA KOREA LEO

Wazri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimkaribisha Mbunge wa Bunge la 18 la Korea ambaye pia ni Balozi wa Shirika la Misaada la Korea (KOIKA),Mh. Yoo-Sun Cho alipomtembelea leo ofisini kwake,Magogoni jijini Dar.Mh bibi Yoo-sun cho picha na pmo
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Mh. Yoon-Sun Cho ambaye Mbunge wa Bunge la 18 la korea na ni Balozi wa Shirika la Misaada la Korea (KOICA) pamoja na Balozi wa Korea hapa nchini,Mh. Young-Hoon Kim walipomtembelea leo ofisini kwake,Magogoni jijini Dar.
Kwa Msaada Wa Michuzi Blog.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages