BAADHI YA PICHA ZA MISS NA MR VYUO VIKUU VYA DODOMA PART 2 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAADHI YA PICHA ZA MISS NA MR VYUO VIKUU VYA DODOMA PART 2

 Huyu Ndio Mshindi Wa Mr Vyuo Vikuu Vya Dodoma Anaitwa Reuben Ni Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Pili Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma. Pia Ni Mwanafunzi Wa Sheria
Huyu Ndo Mshindi Wa Taji La Miss Vyuo Vikuu Vya Dodoma 2011 Anaitwa Jackline Kinabo ni Mwanafunzi Pia Wa Mwaka Wa Kwanza Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma
Mshindi Wa Taji La Miss Vyuo Vikuu Vya Dodoma Akivishwa Taji Na Miss Chuo Kikuu Cha Dodoma anayekaribia Kumaliza Muda wake Rachel Mara Baada ya Kutangazwa Mshindi
Mshindi Wa Taji la Miss Vyuo Vikuu (KULIA) Jackline Kinabo akiwa Na Miss UDOM ambaye anakaribia kumaliza muda wake (KUSHOTO) Rachel na Shost Wao Katikati Mara baada ya Kutangazwa Mshindi.
Mshindi Wa Taji la Miss Vyuo Vikuu Vya Dodoma Jackline Kinabo Alipokua akipita mbele ya umati wa watu kabla ya kutangazwa mshindi
Wadau Wakiwa makini Kufuatilia Mpambano mzima wa kumsaka Miss na Mr wake wa vyuo vikuu vya Dodoma juzi tarehe 28/1/2011
Miss UDOM (KULIA) ambaye anakaribia kumaliza muda wake akiwa kwenye picha ya Pamoja Na mashostito wake kwenye mpambano wa kumsaka Miss na Mr wake wa  Vyuo Vikuu vya Dodoma
Kijana Wangu naona alikua busy na simu kidogo akasahau kama alikua anafuatilia mpambano wa kumpata Miss na Mr wake wa yuo Vikuu Vya Dodoma Hapo Juzi tarehe 28/1/2011 KILIMANI PUB
Flowers wakiwa Wanafuatilia kwa umakini zaidi mpmbano wa kukata na shoka wa kumpata Miss na Mr Vyuo Vikuu Vya Dodoma uliofanyika KILIMANI PUB tarehe 28/1/2011.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages