BALOZI MWANAIDI MAAJAR AFANYA MKUTANO WA KWANZA NA WATANZANIA NCHINI MAREKANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BALOZI MWANAIDI MAAJAR AFANYA MKUTANO WA KWANZA NA WATANZANIA NCHINI MAREKANI


 Mkurugenzi wa Metro Tire,ndugu Kessy.
Kamati ya kuandika katiba ikipata U-kodak wa kumbukumbu na Mh.Balozi Mwanaidi Maajar
 Mh.Balozi(kati) akisiliza mjadala wa kuchagua kamati  itakayounda katiba mpya ya Jumuiya ya Watanzania DMV,kutoka kulia ni Prof.Julius Nyang'oro.Alu Kalala Nyang'oro,Mh.Balozi,Dr.Mkama na Asia Dachi.
 Mh.Balozi(wa pili toka kulia)kwa pamoja wakipata picha ya ukumbusho na Kanumba(the Great-kulia),Mzee Yusuf Kalala(kati) Aunt Sharifa Kalala na Baba mweye nyumba wake Salma.
 Dj Kerry Kheri akifanya mavitu vitu kwenye Bongo Flava
Mh.Balozi Mwanaidi Maajra(shoto) akipokea zawadi ya matairi kutoka mkurugenzi wa Metro Tire Kessy
 Mh.Balozi(shoto) akiwa kwenye picha na Prof.Julius Nyang'oro(kulia),Yusuf Nyang'oro(aliye kaa kati) na aliyesimama ni Danny Kaswamila

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages