Hili ndio gari kutoka Gioraffe ocean vew hotel ambalo washirki hulitumia katika safari za hapa na pale mjini katika msimu wa Giraffe unique model 2010 (seasone one) ambapo fainali zake zitakuwa 24 desemba katika hoteli ya Giraffe ocean view
Hapa washiriki wakiwa mlimani city ambapo walitembelea na kupata chakula cha mchana samakisamaki kabla ya kwenda Mlimani TV.
Hatimae wakafika eneo la mlimani tv na make-up zikaanza...daaah!!
Washiriki Wakifanya Make Up Hapo
Hapo Warembo Wakiendelea Kufanya Make Up.
Baada ya Make up ya kutosha na kipindi kikaanza kama ifuatavyo na Mwanadada Shikinah.
Hapo Kipind Kikiwa ndo Kinaanza
Mwanadada Shikinah Akiwa na Warembo wakati Kipindi Kikiendelea





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)