WASHIRIKI WA BSS WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASHIRIKI WA BSS WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Kavishe akiwakaribisha washiriki wa Bongo Star Search (BSS) walioingia  kumi/bora na wale wa tano bora ambao watachuana Ijumaa wiki hii kupata mshindi,walipotembelea kiwwanda cha kampuni ya bia Tanzania (TBL),leo.Wanne kulia ni Mpishi Mkuu wa  wa Kilimanjaro, Kelvin Nkya.

Washiriki hao wakiwa na Kavishe na Kelvin kwenye ukumbi wa TBl kabla ya kuanza kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho leo
 Mpishi Mkuu akiwapa maelekezo kuhusu palivyo ndani  ya kiwa nda  hicho.Picha zote na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages