MWENYEKITI WA AZAM SAID MOHAMED KUSHOTO NA KOCHA STEWART KULIA WAKATI WA KUMTAMBULISHA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO.
KLABU ya Azam imeingia mkataba wa miezi 18 na kocha Muingereza Stewart John Hall kwa ajili ya kuinoa timu hiyo inayoshiriki ligi kuu Bara.Hall alikuwa akiinoa Zanzibar Heroes iliyokuwa ikishirikki michuano ya Chalenji iliyomalizika jumapili na timu ya Taifa ya Bara 'Kilimanjaro Stars' kuutwaa ubingwa.Pamoja na kunyakluliwa Azam Hall pia atakyuwa akitoa ushauri katika benchi la ufundi la Zanzibar Heroes.Picha na Mdau Dina ismail





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)