KELVIN TWISA: AIRTEL YAINGIA MKATABA NA MANCHESTER UNITED KUKUZA VIPAJI AFRIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KELVIN TWISA: AIRTEL YAINGIA MKATABA NA MANCHESTER UNITED KUKUZA VIPAJI AFRIKA

Meneja Masoko wa Kampuni ya Airtel Nchini Tanzania Kelvin Twissa(kushoto)akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Leo Mchana wakati kampuni hiyo ilipokua ikitangaza rasmi Ushirikiano wa kibiashara na Club ya Manchester United ya Nchini Uingereza itakayokua ikisaidia kuinua vipaji vya soka vya Vijana wa Afrika.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Beatrice Singano.Picha na Muhidini Sufiani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages