Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema, akisaini mkataba na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kusaidia Uwekezaji Afrika ICF,Omar Issa,kwa ajili ya kuboresha Miundombinu na kurahisisha usafirishaji,ambapo uboresha ji wa Miundombinu na kurahishisha usafirishaji wa mizigo kutoka na kuingia ndani ya nchi.Taasisi hiyo itaanza na Barabara ya Rwanda
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)