Tarehe 18 Dec 2010 Wanafunzi wa vyuo vikuu vya dodoma watajumuika na wenzao wa Chuo Kikuu Cha Dodoma katika Bonanza la Kuwakaribisha Wanafunzi wa Mwaka Wa Kwanza. Bonanza Litakalofanyika ndani ya eneo la Chuo Na baadae burudani kufanyika Katika Ukumbi wa Kilimani Dodoma. Vilevile kutakuwa na wasanii wa kizazi kipya kama Belle 9,Mwana FA, FID Q,Chege, Temba.Vilevile kutakua na michezo kama mpira wa kikapu,miguu.netball kabla ya burudani kufanyika usiku katika ukumbi wa kilimani.Bonanza Hilo Limedhaminiwa na TTCL. Siku hiyoTTCL itazindua Bidhaa Zao Mpya.
Vilevile Tarehe 18 Dec 2010 Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wanaosoma Degree Ya Sosholojia Watazindua Organization Yao Ambayo Itaitwa THE UNIVERSITY OF DODOMA SOCIOLOGY STUDENTS ASSOCIATION






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)