TFF YAMWAGIWA MIL 190 NA VODACOM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TFF YAMWAGIWA MIL 190 NA VODACOM

Rais wa Cecafa na TFF Leodiga Tenga (Kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dr es salaam wakati wa makabidhian ya shilingi millioni 190 kutoka Vodacom Tanzania ambao wameamua kudhamini mashindano ya Tusker.Katikati ni Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania  George Rhehumbiza na kushoto kabisa ni Makamu wa Rais wa TFF Athumani  Nyamlani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages