RADIO ONE WAZINDUA HUDUMA YA UPATIKANAJI WA HABARI WA HAPO KWA PAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RADIO ONE WAZINDUA HUDUMA YA UPATIKANAJI WA HABARI WA HAPO KWA PAPO

Mkurugenzi wa Kituo cha Matangazo  cha Radio One Deogratius Rweyunga(Kushoto) akiongea na waan dishi wa habari muda mfupi baada ya kituo hicho kuanza huduma ya rasmi ya upatikanaji wa habari kwa Papo kwa papo(Breaking NEWS)Kupitia simu za mkononi. na wananchi wanaoweza kutumia huduma hii ni wale wa vodacom. Tigo na Airtel na namna ya kujiunga na huduma hii unatakiwa kutuma ujumbe mpya kutoka katika simu Kisha andika neno Radio One halafu tuma kwenda namba 15310.Habari hii na Veronica Kazitmoto-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages