Auntie Ezekiel na mwenzie wakivinjari mitaa ya Kigali
Ray Kigosi na Steve Kanumba wakitembezwa mitaa ya Kigali
Kila walikopita walizingirwa na wapenzi wa filamu za bongo
Kanumba haamini macho yake kwamba wakati nyumbani Tanzania kuna wanaowabeza, huko ugenini wanapokelewa kwa furaha na heshima kubwa. Tujadili hili wadau. Ni lini tutaanza kuthamini vyetu na kukoma kukatishana tamaa bila sababu za msingi?Picha kwa hisani ya gazeti la NEW TIMES.BOFYA HAPA





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)