Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Kikwete(kushoto)akisindikizwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda alipokua akiondoka Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya kumalizika kwa Sherehe za Miaka 49 ya Uhuru wa Tanzania na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mabalozi.Picha na Mdau John Bukuku
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)