JK AKABIDHIWA KOMBE LA TUSKER LEO MCHANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AKABIDHIWA KOMBE LA TUSKER LEO MCHANA

Nahodha wa Timu ya Taifa Tanzania Bara(Kili Stars) Shadrack Nsajigwa akimkabidhi JK Kombe la Chalenji Ikulu jijini Dar leo baada ya timu hiyo kuibuka Bingwa wa michuano ya Chalenji jana.Rais Kikwete aliialika timu hiyo Ikulu kuipongeza. Pembeni yake ni Mama Salma Kikwete na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Dr.Emmanuel Nchimbi.
JK akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha Timu ya Kili Stars Ikulu jijini Dar es Salam leo mchana. Picha na Freddy Maro wa Ikulu
Kwa hisani Ya Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages