JAPAN YAIKOPESHA TANZANIA BIL 106. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JAPAN YAIKOPESHA TANZANIA BIL 106.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Radhamani Khijjah (kushoto) akibadilishana hati ya mkopo wa shilingi bilioni 106 kutoka Serikali ya Japan kwa Tanzania leo jijini Dar es salaam na Kaimu Balozi wa Japan nchini Bw. Shuichiro Kawaguchi(kulia) . Mkopo huo unalenga kuwekeza katika mradi wa usafishaji wa umeme kutoka chanzo cha uzalishiaji huko mkoani Iringa kupitia mikoa ya Singida , Dodoma hadi Shinyanga.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam
Kwa hisani Ya Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages