MABALOZI WA SWEDEN NA NORWAY WAWASILISHA HATI ZAO LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABALOZI WA SWEDEN NA NORWAY WAWASILISHA HATI ZAO LEO

JK amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Sweden na Norway katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Waliowasilisha hati zao ni Balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden na Balozi Bi.Ingunn Klepsvik wa Norway.
Pichani Balozi Ingunn Klepsvik wa Norway akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa JK. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages