Makamu wa Rais akutana na Mawaziri wa ofisi yake Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Ofisi yake wakati Mawaziri hao walipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajili ya kujitambulisha rasmi. kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dk. Teresya Luoga Hovisa, katikati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mhe. Samia Hassan Suluhu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mawaziri wa Ofisi yake wakati Mawaziri hao walipokwenda Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kujitambulisha rasmi. kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dk. Teresya Luoga Hovisa katikati Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais Muungano Mhe. Samia Hassan Suluhu.Picha na Amour Nassor wa Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)