WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA WIZARA YAKE RASMI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA WIZARA YAKE RASMI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi aanza Kazi Rasmi
Meja Martin Francis ni miongoni mwa maofisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania waliojitokeza kumlaki waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi alipowasili Wizarani hapo leo rasmi baada ya kuteuliwa tena kushika wadhifa huo na Rais Jakaya kikwete
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akikabidhiwa kadi ya pongezi na katibu mkuu wa wizara hiyo Bw Andrew Nyumayo alipowasili leo rasmi ofisini kwake kuanza kazi.
Picha zote na Idara ya Habari na Mawasiliano Wizara ya Ulinzi na JKT.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages