ABOOD ATEMBELEA HOSPITALI YA MOROGORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ABOOD ATEMBELEA HOSPITALI YA MOROGORO

Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Azizi Abood,kushoto akimpa pole mtoto Halid Lisheni(2) katika hospital ya mkoa wa Morogoro wakati mbunge huyo alipofanya ziara ya kutembelea hospotalini hapo hivi karibuni.
Mheshmiwa Aziz Abood akimsaidia muuguzi mkuu wa Hospitali ya mkoa wa Mirogoro, Tatu Kasuka kumnyanyanyua Bi Regina Msaki(63)wakatimbunge huyo alipotembelea hospitali hiyo
Mbunge wa Morogoro Mjini Mh.Abood akimfariji mgonjwa Blandina Msaki wakati wa ziara yake katika hospital ya mkoa wa Morogoro.Picha na Mdau wa Morogoro na Peter Kimath

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages