Pichani ni Mheshimiwa Regia Mtema Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA.ambae Mwanzoni Aligombea katika Jimbo la Kilombero na kushindwa kwa taabu. Ni Jimbo ambalo watu wanasema ni gumu,lakini bahati yake ilishapangwa na Mungu.Hongera Mheshimiwa.Picha alipokua kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Hivi Karibu.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)