WABUNGE WATUA MJENGONI KUJISAJILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WABUNGE WATUA MJENGONI KUJISAJILI

Wabunge Wapya waliotua Bungeni Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa jimbo la Hai Freeman Mbowe akijisajili katika ofisi za bunge leo huku Afisa wa Bunge Asia Paul Minja akishuhudia.
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chdema),Joseph Mbilinyi aka Mr II Sugu nae amekwisha wasili kwenye viwanja vya bunge mjini dodoma
Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki(CCM) na spika mstaafu Samwel Sitta akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mheshimiwa Halima Mdee(Chadema)
Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta(CCM) akisalimiana na Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango-Malecela(CCM)
Kaitbu Mkuu wa Chadema Dk.Willibroad Slaa(kushoto)akisalimiana na baadhi ya wabunge katika jengo la bunge leo mjini Dodoma baada yakuwasili katika mkutano na wabunge wake leo mchana.Katikati ni mheshimiwa mbunge Dk. Hussein Mwinyi.Picha zote kwa hisani kubwa ya PwaniRaha na MediaWorks International

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages