AJALI ILIYOTOKEA JANA MAENEO YA MIKESE - MOROGORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI ILIYOTOKEA JANA MAENEO YA MIKESE - MOROGORO

Jana Mchana maeneo Ya Mikese kuna Ajali Ilitokea Kati Ya Lori Lililokua linatoka Dar kuelekea Morogoro na Mini Bus aina ya Costa iliyokua inatoka Morogoro kuelekea Dar kugongana Uso Kwa Uso.taarifa Zilizopatikana Dereva wa Costa alifariki njiani wakati anakimmbizwa Hospitali

Picha hapo juu ni lori lililogongana na Costa Uso Kwa Uso
Picha hapo Juu ni ubavuni mwa Costa iliyogongana Na Lori.


Picha hapo juu ni upande wa mbele wa Costa Ulivyokua Baada Ya Ajali


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages