Mambo yalivyokua Kwenye Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Katibu Mkuu wa Chadema na aliyekua Mgombea Uraisi kupitia chama hicho Mheshimiwa Dk Wilbrod Slaa akielekea kwenye mkutano maalum na wabunge wateule wa chadema kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
Mbunge mteule wa Hai(Chadema)na M/kiti wa Chama hicho Freeman Mbowe akisalimiana na Mbunge wa CCM nje ya ukumbi wa Bunge Mjini dodoma
Mbunge wa Njombe Kusini ambaye pia ameteuliwa kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda akisalimia na Mbunge wa jimbo la Muleba kusini (CCM) Prof. Anna Tibaijuka leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)