Mambo Yalivyokua Jana Bungeni Mjini Dodoma
Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta akiapishwa na aliyekuwa Naibu wake Anna Makinda
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa akila kiapo cha kuwa Mbunge wa jimbo la Monduli ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akila kiapo cha kuwa mbunge wa jimbo la Mpanda Mashariki ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Hai Mh. Freeman Mbowe akila kiapo cha kuwa mbunge wa jimbo hilo mjini Dodoma.
Mbunge wa jimbo la Muhambwe, Kibondo-NCCR –Mageuzi, Mh. Felix Mkosamali akila kiapo cha kulitumikia jimbo hilo mjini Dodoma. Akiwa na umri wa miaka 24 tu Mh. Mkosamali ni mmoja ya wabunge wenye umri mdogo walioapa leo.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda akiingia Bungeni baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo mjini Dodoma.
Picha na Anna Itenda na Aaron Msigwa - MAELEZO.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)