D.I.T waunda kifaa cha kuongozea Magari
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Mohamed Mpinga,akionyesha taa ya mkononi iliyotengenezwa na Taasisi ya Teknolojia Dae es Salaam (DIT) ya kuongozea magari nyakati za usiku.
Taasisi hiyo imesaini mkataba na Jeshi la Polisi jana Jijini Dar es Salaam kwa ajili kushirikiana katika mafunzo, utafiti na huduma za jamii pamoja na uboreshaji wa mambo ya kiusalama.
Picha kwa hisani ya jeshi la polisi Tanzania

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)