Jiwe La Msingi Lililofunguliwa Na Rais Jakaya Kikwete Katika Uzinduzi Wa Chuo Kikuu Cha DODOMA Jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Mohamed Gharib Bilal akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua rasmi Chuo Kikuu cha Dodoma Jana. Picha na mdau Clarence Nanyaro wa VPOMakamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dodoma Profesa Idrissa Kikula akimweleza jambo Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania,baada ya Rais Kikwete kuzindua Chuo hicho mjini Dodoma leo. Kulia ni Makamu wa rais Dk Mohamed Gharib Bilal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la chuo kikuu cha Dodoma. Picha na mdau Clarence Nanyaro wa VPO
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal na Rais Mstaafu awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa wakikata utepe kuashiria kuazindua rasmi Chuo Kikuu cha Dodoma leo mchana.Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ndiye Mkuu wa chuo cha Dodoma, na Dk. Bilal ni Mwenyekiti wa kwanza wa Chuo hicho. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Raisi Jakaya Kikwete Akisalimiana Na Baadhi Ya Wanafunzi Wa UDOM
Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete Akirudi Kwenye Gari Mara Baada Ya Kusalimiana Na Baadhi Ya Wanafunzi Hapo Jana
Wadau hawakua Nyuma Nao Kama Wanavyoonekana karibu na Jiwe La Msingi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)