JK ALIPOKUWA AKIHUTUBIA KATIKA MAHAFALI YA KWANZA YA UDOM JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK ALIPOKUWA AKIHUTUBIA KATIKA MAHAFALI YA KWANZA YA UDOM JANA

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wahitimu na wakufunzi wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo Kikuu Cha Dodoma iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma jana.Katika mahafali hayo Rais Kikwete na Hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa walitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari(Doctor Honoris Causa). 
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages