Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Benjamin Mkapa akimtunuku Rais Jakaya Kikwete Shahada ya Uzamivu(PHD)ya heshima wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga chuoni hapo nje kidogo ya mji wa Dodoma Jana. Katikati yao ni Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Idriss Kikula.
Picha na Freddy Maro/IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)