Ukumbi Ukiwa Unaandaliwa Kwa Ajili Ya Graduation Ya Kwanza Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
Humo Ndani Ya Jengo La Chimwaga Ambapo Wahitimu Wa Kwanza Wa Chuo Kikuu Cha DODOMA watakua Humo Ndani Pamoja Na Wageni Waalikwa.
Ukumbi Ukiwa Katika Maandalizi Ya Kutumiwa Kwa Ajili Ya Graduation Ya Kwanza Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma tarehe 26 Nov 2010
Nje Ya Ukumbi Wa Chimwaga Napo Hapajaachwa Hivyo.Napo wanapaanda Kwa Ajili Ya Graduation
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)