JK KUTANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK KUTANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI LEO


Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatangaza Baraza la Mawaziri jipya leo, Jumatano, Novemba 24, 2010.

Rais kikwete atatangaza Baraza la Mawaziri hilo jipya kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 31, mwaka huu, 2010.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM
.

23 Novemba, 2010

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages