Mh. Sugu ala kiapo bungeni
Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II ama Mr. Sugu akila kiapo Bungeni wakati mchakato wa kuapishwa Wabunge wateule ukiendelea.Mh. Joseph Mbilinyi akipongezwa na Spika wa Bunge Mh Anne Makinda mara baada ya kula kiapo. Picha na Richard Mwaikenda.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)