DKT BILAL ATUA DODOMA LAO MCHANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DKT BILAL ATUA DODOMA LAO MCHANA

Dk Bilal awasili Dodoma leo
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo kwa ajili ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni maandalizi ya kuunda Serikali mpya ya awamu ya pili ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete ambapo kesho jina la Waziri Mkuu linatarajiwa kutajwa. Picha na Muhidin Sufiani
Habari Kwa hisani ya Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages