STR8 MUZIK INTER COLLEGE BASH - DODOMA YAINGIWA NA DOSARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

STR8 MUZIK INTER COLLEGE BASH - DODOMA YAINGIWA NA DOSARI

Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na show ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dodoma ikijulikana kama Inter-College Bush. Ila show hii iliingia dosari pale alipokuwa kwa steji Joh Makini na kukatizwa show na mapolice waliokuja kwa kutaka mziki uzimwe eti muda umekwisha.

Police walichokifanya ilikuwa sio poa kwasababu walivunja vifaa vya kamera, wanafunzi waliumia sana hata Dj Choka mwenyewe alipigwa na chupa jichoni na kuibiwa walet pamoja na camera ambayo ilikuwa na picha nyingi za stejini
 
Picha hapo Juu Ni B12 aliyekuwa Akihost Show Akiwa na Mwanamdafada Barbra Kutoka UDOM wakiwa Kwenye Steji
 
Picha Hapo Juu Ni Wadada Kutoka UDOM wakiwa Stejini tayari kwa kuanza kuruka Show.Kutoka Kulia Ni Barbra Akifuatiwa na Princess Watoto Wa UDOM
Msanii Kutoka Ilala Flat Shetta Akiwa Jukwaa Anatumbuiza
 Fid Q akizungumza machache kwa yaliyotokea na kupeleka lawama nyingi kwa mapolice wale, Fid Q na Chege hawakuweza kupanda stejini kwa sababu ya vurugu hizo zilizotokea.


Mrisho, Michael Ross & B12 after show.

 Mrisho, Michael Ross, Shetta & Feisal


Mwana FA, Ngosha Ze Swaga Don, Shetta, Soggy Doggy, B12, Feisal wakiwa Kwenye Picha Ya Pamoja Baada Ya Show

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages