Kilichokua Kinaendelea Jana Kabla YA Inter College Bash Dodoma katika Hotel ya Royal Village ni utengenezaji wa steji pamoja na kuweka mambo sawa ili watu watakaofika wakae sehemu nzuri.
Pool Table nazo Zilihusika Mahala Hapo Jana Royal Village
Moja Ya Sehemu Ya Kuuzia Vinywaji Ilipokua Jana
Hii ni sehemu ya Chakula Ilipokua Jana Royal Village
Kabaaaaaaaaaaa mzigo huu hapa sasa, unakuja mzima unaondoka unayumba
Wadau wa Str8Muzik wakiwa kwenye kivuli wakisubiri kuona mambo yanakwenda sawa
Anajulikana kwa jina la Braza Peter ni TV Show Producer nae alikuwepo Royal Village Jana katika kuwamulika wasanii wote waliopanda Juu Ya Steji Jana Usiku
Mwanamuziki Mansu Lee Nae Alipanda Jukwaani Jana Royal Village Kwenye Show Ya Inter College Bash.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)