PICK UP YAZAMA BAHARI YA HINDI - KIGAMBONI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PICK UP YAZAMA BAHARI YA HINDI - KIGAMBONI


Hii ndio ajali ilyotokea asubuhi hii upande wa Kigamboni ambapo gari aina ya Toyota Hilux pick up linalo tumika kusambaza nyama katika maduka ya nyama ya Kigamboni limepata ajali ya kuzama baharini baada ya kile kinachosemekana kujaribu kuwahi kuingia katika Pantoni bila mafanikio. Habari zizizo rasmi zinasema dereva wa gari amekufa na msaidizi wake amenusurika, na kwamba mwili wa marehemu umeshaopolewa lakini gari bado iko majini huku juhudi za kulitoa zikiendelea. 
Habari kwa Hisani Ya Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages