Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akagua ujenzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa cha Hombolo
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa LAPF inayogharimia ujenzi huo,Eliud Sanga wakati alipokitembelea Chuo hicho Novemnba 18,2010.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa cha Hombolo wakati alipokitembela Novemba 18, 2010. Kulia ni Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Maimuna Tarishi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)