AJARI MBAYA YATOKEA SHINYANGA USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJARI MBAYA YATOKEA SHINYANGA USIKU WA KUAMKIA LEO


ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Maganzo,Mkoani Shinyanga mara baada ya gari lililokuwa mbele kusimama ghafla na kusababisha gari la nyuma kuigonga gari iliyokuwa mbele kutokana na kupangwa kwa mawe barabarani na watu wasiojulikana na mpaka kupelekea gari zote kupinduka.hakuna alipoteza maisha katika ajali.
baadhi ya watu waliokuwa wakipita maeneo hayo wakiziangalia gari hizo zikiwa zimepinduka.
Picha kwa Hisani Ya Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages