Rwabizi plaza yazinduliwa bukoba
Jengo la Rwabizi Plaza ambalo ni la pekee la binafsi la Biashara, jengo hilo lina kumbi za mikutano, sehemu ya maduka, hoteli na sehemu ya michezo na vyakula.Mkurugenzi wa Rwabizi Plaza Salvatory Rwabiziakitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa jengo hilo.
Mkurugenzi mtendaji wa jengo pekee binafsi la Biashara mkoani Kagera la Rwabizi Plaza, Salvatory Rwabizi (kushoto) akiongea na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Kagera wakati wa sherehe ya uzinduzi wa jengo hilo Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii Bukoba
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)