MPANGILIO WA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE
----------
TAREHE 8-17 NOVEMBA 2010
----------
TAREHE 8-17 NOVEMBA 2010
JUMATATU 08 Novemba,2010
Tangazo la Rais Kuitisha Bunge - IKULU
JUMANNE 09 Novemba,2010
* Wabunge kuelekea Dodoma
* Kusajili Wabunge Wateule Dodoma - Ofisi ya Bunge Dodoma
JUMATANO 10 Novemba,2010
Usajili kuendelea Dodoma - Katibu wa Bunge
ALHAMISI 11 Novemba,2010
Saa 4.00 Asubuhi
* Mikutano ya Kamati za Vyama vya Siasa
* Kikao cha Briefing UKUMBI WA BUNGE
Saa 10.00 Jioni
Kupokea majina ya wagombea Uspika (Nomination day)
IJUMAA 12 Novemba,2010
* Mkutano wa Bunge wa Kwanza.
* Kikao cha Kwanza kuanza kwa kusomwa Tangazo la Rais la kuitisha Bunge
* Uchaguzi wa Spika.
* Kiapo cha Spika.
* Wimbo wa Taifa na Dua
* Kiapo cha Utii kwa Wabunge Wote.
JUMAMOSI 13 Novemba,2010
Wabunge kuendelea Kuapishwa
JUMATATU 15 Novemba,2010
Wabunge kuendelea Kuapishwa
JUMANNE 16 Novemba, 2010
Asubuhi
Wabunge kuendelea Kuapishwa
Mchana
* Kuthibitisha Jina la Waziri Mkuu
* Waziri Mkuu kutoa Neno la Shukrani
* Uchaguzi wa NAIBU SPIKA
JUMATANO 17 Novemba, 2010
Asubuhi
Waziri Mkuu Kuapishwa IKULU - CHAMWINO
Saa 10.00 Jioni
RAIS KULIHUTUBIA BUNGE UKUMBI WA BUNGE
NENO LA SHUKRANI - WAZIRI MKUU
HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE
Usiku
Tafrija ya Rais kwa Wabunge wote Viwanja vya Bunge
*ENDAPO ITAKUWA SIKUKUU TAREHE 15 AU 16 NOVEMBA,2010 BUNGE LITASITISHA SHUGHULI ZAKE HADI SIKU INAYOFUATA.
Imetolewa tarehe 8 Novemba,2010
OFISI YA BUNGE,
S.L.P.9133,
DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)